π π π π π π yani mchaga na pesa!!ni balaa mnambinu sana jaman kha..fanya fanya basi huko utangaze hiyo ndoa tupige fweza mwananguWewe inayoluhusu ni sendoff harusi ni yabwana harusi..nikikuoa mimi tunaanzisha zote mbili, unawapiga kwenye sendoff mimi nawapiga kwenye harusii..
Hapa nina card 9 za michango aisee sijui namalizana nazo vipi
π
We Mangi weweeπ πHeee kumbe pana mboga pale...i swear sijaziona,ngoja nikaangalie tena
Sasa si ndio mipango ya siku inayofuata inaanzia hapaaSasa mbona offer yako imechelewa sana Hazard???[emoji849][emoji849] Nakaribia kushiba hapa!
π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈMmmh...kwa unene huu unataka ninenepe niende wapi mkuu?[emoji1]
Sikupwai/hunipwai/hatupwayani ndugu[emoji1][emoji1]
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Teh!!..naomba zawadi ya kukufanya ucheke kiboya sana ujue.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka kiboya sana ujue..
Amen kwa jina la mkulima
Habari ya kwangu njema/salama kabisa[emoji122]
Ni Poa snaa baba habari ya kwako na familia??
Jumatatu yangu imeenda poa/salama kabisa japo naendelea kufa na utamu wangu kama muwa.[emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356]
[emoji28][emoji28][emoji28]
Habari ya huko ulipo lakini.vipi jumatatu yako..siku yako ilikuwaje?
Khaaah!! Si ulisema unanitumia lakini[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hahahaha..... Espy gosi ologokaya ng'wanike[emoji1]
Ndelo silehoi bhageshi nagowela izelaga/nzogo obhoche.
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Nilisema nakutumia ndiyo ila bado hujanipa mwongozo kuwa nakutumiaje mpendwaKhaaah!! Si ulisema unanitumia lakini[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo tupige wote π€³π€³Tumuone na mlaji basi
Tubariki hata nakaselfie lizzy
Kesho sipo sasa. ππSasa si ndio mipango ya siku inayofuata inaanzia hapaa
Uwiii roho yangu[emoji39][emoji39][emoji39]Nilisema nakutumia ndiyo ila bado hujanipa mwongozo kuwa nakutumiaje mpendwa
Kama hao eti eeeeee Espy View attachment 1638593
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Amina alikuwa mwembamba wakati yupo na baharia; baada tu ya kuachana Amina kawa pisi kaliKichwa maji sijaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapo mwenye roho mbaya kati yangu na wewe nani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Umekuja kimya kimya ila kuondoka ndio unaniambia.
Adhabu yako naanza ile kitu mara moja kwa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuachane nayo tu[emoji23][emoji23][emoji23]Nimejaribu kurudia sielewi.Mkuu Makiseo mbona nimeandika kwa lugha ya kwetu kabisa ipo clear! Au ndio tuachane na hiyo mada [emoji28][emoji28][emoji28]
Vizuri sana kama ni salama kabisa kiongoziYep yep mate.. Groly to the First Creator.
Salama kabisa Kiongozi
Tuma moja kwanza itanishawishi kuja paande hizo saa hii...Njoo tupige wote [emoji1702][emoji1702]
MakiseoTuachane nayo tu[emoji23][emoji23][emoji23]Nimejaribu kurudia sielewi.
Sent using Jamii Forums mobile app