financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Kumbe mziwanda ndiyo maana unahisi duniani upo mwenyewe unavodeka(lastborns mna shida sana)ππ, kuwa makini huko shamba usije ukatupandia mchele na mpunga πββοΈMi mtoto wa bush wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nimezaliwa kijijini.
Kudeka kupo maana mziwanda ni mziwanda tu Ila ratiba ya kwenda shambani iko palepale na mwaka huu lazima niende kupanda.
If only π£π£Daily ni starehe
If only π£π£Daily ni starehe
Bado sijaenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe mziwanda ndiyo maana unahisi duniani upo mwenyewe unavodeka(lastborns mna shida sana)[emoji3][emoji3], kuwa makini huko shamba usije ukatupandia mchele na mpunga [emoji2088]
Bora uwe dereva aise..ukonda utanipiga fweza sana ππHahahaha we ndio unipe kazi ya udereva au ukondakta ,asee
Mungu wangu π²π²π²π²Endelea hivyo hivyo mpaka uje utokelezee huku Mwanza wenyeji tupo tutakupokea...and probably for the first time in your life uje ule ugali mpaka ushibe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1637899
Nani alikwambia Mwanza kuna wachuna ngozi? Hapo umetusingizia tu [emoji16][emoji16]Mungu wangu [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Cha kwanza.....si ntazimia kwa ugali huo??? [emoji29][emoji29]
Cha pili....huo sindio mwanzo wa kuibiwa na kuchunwa ngozi huo???[emoji848][emoji848]
Umeona sasa hadi mama anahofia nauli yake sababu anakufahamu cha kudeka wakeπ utaishia kusinzia tu huko shamba. Lastborns banaππBado sijaenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mawazo ya kwenda yanakuja na kupotea[emoji38]
Nadhani watafanya vibarua na inabidi awepo mmoja kuwasimamia
Mama alisema hawezi poteza nauli yake kunisafirisha kwenda shambani
Wanasemaga, biashara matangazo ila nyingine ni za magendo ama kharam π³π³....hazinaga matangazo.Nani alikwambia Mwanza kuna wachuna ngozi? Hapo umetusingizia tu [emoji16][emoji16]
Karibu area D,Dodoma by night ....
View attachment 1637885
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Wolf bana.....sikutarajia kucheka ila umenichekesha sana. Kwanza i had tu think about it for a sec..kuapishwa?π€ ndo nikakumbuka ishu za mjengoni.Karibu area D,
lizzy, ulikuja kuapishwa nini haha
Maendeleo hayana chama, mimi ni wa kijijini mbona huku tunatumia chemchem bomba hazifungwi zinaharibika maji yanamwagika, halafu sio swala la vijijini ni swala la mbunge wenu mwambieni aombe fedha muongeze visima zaidi, halafu wabunge hawapo mjini tu, tuwasukume watulete majiTunafuata na tumeipa..kwani shida iko wapi???
Si kila mtu ana uwezo wa kuvuta bomba nyumbani
Halafu yawezekana we wa mjini sana kwamba maisha ya kijinini huyajui
Mimi hata Mbeya niliwahi kukuta hivyo nikasema wako vizuri wanajitahidiDodoma mko vizuri sana!!!Mpaka toothbrush na dawa [emoji1487][emoji1487][emoji1487]View attachment 1637984
Hujawahi kupata akili ππHivi mtu akienda Malawi tunasema ameenda nchi za nje?
Kama huyu ni wewe pole sana.[emoji3590]View attachment 1637669
Karibu Maghorofani bintiDodoma mko vizuri sana!!!Mpaka toothbrush na dawa ππΎππΎππΎView attachment 1637984
Ni nature ya eneo lenyewe lipo hivyo.Maendeleo hayana chama, mimi ni wa kijijini mbona huku tunatumia chemchem bomba hazifungwi zinaharibika maji yanamwagika, halafu sio swala la vijijini ni swala la mbunge wenu mwambieni aombe fedha muongeze visima zaidi, halafu wabunge hawapo mjini tu, tuwasukumu watulete maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona sasa hadi mama anahofia nauli yake sababu anakufahamu cha kudeka wake[emoji3] utaishia kusinzia tu huko shamba. Lastborns bana[emoji3][emoji3]