Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana sifoki. Kuna bwana mdogo hapa namwelekeza kuhusu ishu fulani hivi. Hujambo lakini? Ulienda kanisani leo? Umetubu madhambi yote na kusamehewa?
Ook nikahisi kuna mtu kamuudhi saulmet, nisingekubali ningemuudhi pia😀, mi mzima kabisa vipi wewe?, ndiyo nilienda church nimetubu naamini Mungu kasikia toba yangu. Vipi ulienda pia?
 
Ook nikahisi kuna mtu kamuudhi saulmet, nisingekubali ningemuudhi pia
, mi mzima kabisa vipi wewe?, ndiyo nilienda church nimetubu naamini Mungu kasikia toba yangu. Vipi ulienda pia?
Mi sijaenda aisee. Limvua linanyesha balaa leo yaani. Nimehudhuria ibada ya kwenye tivii. Hongera kwa toba; na kama atatokea wa kuniudhi basi ntamshtakia mara moja. Blessings
 
Mi sijaenda aisee. Limvua linanyesha balaa leo yaani. Nimehudhuria ibada ya kwenye tivii. Hongera kwa toba; na kama atatokea wa kuniudhi basi ntamshtakia mara moja. Blessings
Poleni kwa mvua ,hata ibada ya kwenye Tv si mbaya lkn. Hakika akikuudhi mtu niambie kamanda nipo hapa💪😀.
Amen, good night rafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…