geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,227
achana na wakongwe ww ndio umetuma picha nyingi sana humu....i love u
Maajabu hayatakaa yaishe hapa duniani
πππMaajabu hayatakaa yaishe hapa duniani
Tunasema ameenda nchi jirani.Hivi mtu akienda Malawi tunasema ameenda nchi za nje?
Nitakomaa na wewe mpaka uanze kula na kushiba. Hata kama ni wa kishua, this is too much
Yani Shimba bado tu jamani???
Next time ukimwambia leo kunyoa, utaona pilika pilika zake ha ha...mimi kama negative experiences siyo mbaya namuachia dogo ajitusue mwenyewe afahamu vizuri dunia inavyoenda
mf. Dogo nilimwambia hamna kuangalia TV weekdays, akirudi anamkazia dada anaangalia dada hasemi, hiyo siku nimerudi home kabla hajarudi shule nikapaki gari mbali kabisa na home asijue nipo home ili akumbane na consequences za tabia zake...karudi anamuendesha kama yeye ndie baba, kawasha tv, dada akimuambia zima tv, anamjibu mbovu afu anamwambia ukimwambia baba nitakunyima hichi, kile...
nikatoka room alikuwa mdogo balaa nikachomoa card ya king'amuzi miezi 3, nikampangia na kazi za kufanya na makofi akala, siku hizi yuko maki i kweli na maelekezo
Dah kapendeza Sana na alinitext Jana akapendekeza nguo ipi nivae sema siwezi kumla mke wa jamaa sio poa kabisa,
A selfie snap,
Nimefikiria Sana kabla ya kupost picha hii, ila nikasema Kama mbwai na iwe mbwai ( in Tundu Lissu voice)View attachment 1616732
Walisitisha mwaka gani??KCMC Mbona walishasitisha masomo ya udaktari ? ? Au
πππ eti wa kishua π€ͺπ€ͺNitakomaa na wewe mpaka uanze kula na kushiba. Hata kama ni wa kishua, this is too much
Dogo unagraduate?
πππ kd hajakupaga?Jitolee mdogo wangu niletee hata Samsung