Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

76CB4394-B5E7-40B1-BE2F-648365928254.jpeg

Kutana na bwana homemade classic mojito 😅😅imekasoro mint leaves tu.🥂
 
Siyo miye bro. Kuna libaharia hapo lenye bahati linaambiwa eti limependwa na binti taabani. Mi nilikuwa nakoleza moto tu [emoji16][emoji16][emoji16]

Happy Thanksgiving bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Duh! Penye miti hakuna wajenzi bro. Unaweza pendwa ukachukulia poa, ila siku ukimkosa ndio unaona umuhimu wake.
 
Back
Top Bottom