geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
friday
Jizazi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]
Thanksgiving and Birthday combo...Proud dad [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1635554
Ewe mtumishi mwema. Njoo tu hata uwe mama kabisa wa haka kabinti kwa kweli. Nako kanampenda Mungu sana na mtakuwa wamoja sana katika utumishi wenu. Karibu sana mtumishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kongole sana Mtumishi.
Sasa Mtumishi hamuwezi kuni-adopt na mimi nikawa binti yenu mhenga au vyovyote tu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amesema perfect combo?
Kwa kweli sitaki tena ushirikiano na wewe. Nilijua utakuwa umejifunza kinge angalau unitafsirie kumbe kushney babuji. Hujasahau tulimkosa mchumba kisa x-pozha? Sifili secure kabisa kuwa na urafiki na wewe
@Kaboom unafeli wapi hadi mtoto anatafuta baba wa kufikia[emoji2369][emoji2369]Kongole sana Mtumishi.
Sasa Mtumishi hamuwezi kuni-adopt na mimi nikawa binti yenu mhenga au vyovyote tu?
Espy@Kaboom unafeli wapi hadi mtoti anatafuta baba wa kufikia[emoji2369][emoji2369]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzima mimi mkuu
Niko poa kabisa mdogo wangu. Naona ndio umeachiwa sasa. Nilikumiss.Mzima mimi mkuu
Vipi mzima wewe
Ewe mtumishi mwema. Njoo tu hata uwe mama kabisa wa haka kabinti kwa kweli. Nako kanampenda Mungu sana na mtakuwa wamoja sana katika utumishi wenu. Karibu sana mtumishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekua sikio likazidi kichwa eeh?
Nimekuja kugundua kingee sio midomo yangu nikaachana nacho, bora nijifunze kinyakyusa tu sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Roho bado inaniuma ujue kukosa ule uchumba. Usiishie kujifunza tu kinyaki, jifunze kuto na mabanzi kabisa teh
Daah hadi nimemmiss T ake mama x-pozha. Nalendwa you are missed badly pal
Nakemea roho ya uchonganishi: ishindweeeee@Kaboom unafeli wapi hadi mtoto anatafuta baba wa kufikia[emoji2369][emoji2369]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mabanzi muhimu, hilo ndo nilianza nalo.
Nalendwa sijui kapotelea wapi jamani[emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni fedheha ya hali ya juu kwa wazazi wako.Nakemea roho ya uchonganishi: ishindweeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh ntapitia tena ule uzi wa wanawake wagomvi.
That gal daaaaah