Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakuelewa ni kawaida lakini kuamka asubuhi ni jukumu aina cha kupenda. Kusema kweli sipendi alafu unakuta dogo hayupo kwenye mood.
Umenikumbusha kuna dogo alikuwa msumbufu,yaani asubuhi movie yake na mama yake akiwa anamuandaa utacheka hadi uzimie..yaani wanakamatana kinguvu,anamtandika makofi.
Hapo unamsindikiza dogo njia nzima analia,hataki kwenda

Huyu wa Sasa anapenda shule, kwanza asubuhi anaamka mwenyewe.
 
Duh mambo mengine lazima uwe mkali,mimi watoto wengi hata wangu mwenyewe wananichuliaga poa ila wanavyomuogopa mama yao mpaka miaka ya nyuma kidogo first born wangu aliniambia hatumtaki huyu mama niwaletee mama mwingine, nikamwambia ukinisikiliza na kutii ntaleta mwingine.
 
Kuna watoto ni vichomi...yaani hapo hadi wamalize kuandaana anakuwa amemlamba makofi ya kutosha ..halafu kimyakimya tu vibao vinalia
sister sio muongeaji kabisa.

Sasa hao wako ulideal nao vipi hadi wakaacha??
 
Pole bro
 
Mimi uwa nachukua muda naongea nao,ninapokuwa nina uhakika wamekosea naswitch kidogo,japokuwa majibu na maswali yao yananikera kama mtu mzima inasaidia kujuwa nayumba wapi,.Sina muda wa kupiga mtoto makofi.
 
Basi hujapata mtoto kichomi.

Kuna mmoja amefanya tukio juzi yaani kila weekend anapitiliza kwa bibi yake..harudi nyumbani.Kumbe akishushwa na gari la shule anaenda stand anaanza kuomba kupanda gari,makonda wanamshusha..anaanza kuombaomba hela kwa watu barabarani.
Sasa kuna siku jirani amemuona akaja kusema nyumbani.
Baba yake alimpiga yule mtoto kwa mara ya kwanza.
 
Huyo lazima apigwe,tatizo unaweza ukampiga alafu baada ya wiki mbili anarudia kosa lilelile utakuwa unapiga mara mgapi sasa,mpaka aneanda kuomba hela barabarani kutakuwa na tatizo la malezi sehemu ni mtazamo Wangu tu.
 
Hela wanapewa.
Shida ni kwamba anatumia yote anabaki na sh Mia.

Yule mtoto anataka kukaa kwa bibi yake.
Sasa alipigwa hiyo jumatano,ijumaa akaenda Tena

Saaahivi baba yake amesema aende tu kukaa kwa bibi yake atokee huko kuliko hivi anavyofanya..kwanza ni risk Sana.

Kwenye malezi naona aliwadekeza mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…