Siyo hapa nyumbani ni nje ya Nchi,kisheria siyo lazima mzazi ampeleke mtoto shule,unaweza ukamfundisha taaluma zingine nyumbani, cha muhimu ajuwe kuhesabu na kusoma na kuna wakaguzi maalum wa serikali wanafuatilia kama kweli anaelimishwa.