Ni Dodoma ndio
Matunda ndiyo sukari unataka sukari ipi tenaView attachment 1630253Hakuna adhabu ngumu ninayoipitia kwa sasa kama kunywa juice ambayo haina sukari[emoji17][emoji17]ni ngumu [emoji2296]
nitatupia humu tajiriHalafu yako sijaiona boss
Niliweka kule juu kama hukuiona pole mana nshaitoa.Hebu nikuone mrembo
Looh hope wajumbe wamefaidi jamaniNiliweka kule juu kama hukuiona pole mana nshaitoa.
Happy Birthday To HimIt's someone's birthday today [emoji3060][emoji3060][emoji512][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 1630353
Mimi mwenye kitambi mchuchumio nacomment wapi?
Acha kitu kinaitwa wali ndondoJamani nyie hamjawahi kula kiporo cha wali maharage na chai ya mchai chai???[emoji848][emoji848]
@espy kuna tallest dark guy huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@espy kuna tallest dark guy huku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@espy kuna tallest dark guy huku
Aaah mtumishiii[emoji7]
Kinachokuchekesha utanieleza![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usinitie majaribuni binti.
Choroko ni mbaya mno Lizzy nakupa tu tahadhari mapema[emoji848]Whaaaat ??[emoji15][emoji15] [emoji12][emoji12] Na mie kawaida huwa natengeneza na kachumbari ila leo nimeshtukia nyanya ngumu hamna na muda umeshaenda. What a sweet mama though [emoji846][emoji846]...I hope bado yuko around na huwa anakupikia mara moja moja ukienda kumuona!!
Wa choroko nimewahi kula ila sio kupika....sikuupenda sana. Labda siku nijaribu kupika mwenyewe, pengine ntauelewa [emoji57][emoji57]
Alafu unaachaje kupenda wali maharage Wolf?? Au hujawahi pata mpishi mzuri wa kukushawishi???
Njoo nikugawie ukimbaombao[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mwenye kitambi mchuchumio nacomment wapi?
Tukuone sasa