mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
KaribuNakutumia inbox ahsante sana
NB: sitanii ukituma namba ya wakala simama hapohapo upokee 10k yako na utupe mrejesho
Asante
KaribuNakutumia inbox ahsante sana
Usinisahau tafadhaliMdogo wangu nimeshinda nasubiria kutoa kwa wakala ahsante sana na kapeace Saint anne
Ningeumia mno kukukosa kwenye hii mizigo mikubwa mikubwa mkuu!!Mtatuua jamani dah![]()
Karibu
NB: sitanii ukituma namba ya wakala simama hapohapo upokee 10k yako na utupe mrejesho
Asante
OkNipo kwa wakala tayari... Nimekutumia inbox
Ningeumia mno kukukosa kwenye hii mizigo mikubwa mikubwa mkuu!!
M-Pesa please. Any amount![]()
Usinisahau tafadhali
Soda
KabisaLazima upate aisee bila wewe na kapeace na st ann nisingeweza nipo kwa wakala hapa.





WoyyooooooLazima upate aisee bila wewe na kapeace na st ann nisingeweza nipo kwa wakala hapa.
Nimejikuta nacheka 😂😂😂
Woyyoooooo