Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
wamuache aendelee kubaki hapo hapo kwenye display..yeye ndio pambo la uziThis is what you see ukifungua tu hii jukwaa ya chit chat...Loooooord have mercy!!!!View attachment 1221626
wamuache aendelee kubaki hapo hapo kwenye display..yeye ndio pambo la uziThis is what you see ukifungua tu hii jukwaa ya chit chat...Loooooord have mercy!!!!View attachment 1221626
Na mimi nataka 10k jamani
Bro...Si umeona lakini?
Nimejikuta nacheka![]()
Soda yangu mimiMambo ya mshipa... Nishatoa @sakayoView attachment 1221631
Nshapost kama tatuYako sijaoona
Bro...Si umeona lakini?
Kwa nini umecheka?Nimejikuta nacheka![]()
Ulipost kabla ya offer kutolewa.Nshapost kama tatu
Watume tuuNasubiri ya Mshanajr na SHIMBA YA BUYENZE lazima upate ya soda nakurushia.
Bro...Si umeona lakini?

Pesa chafu ivi mzeeShauri yako... Utapishana na gari ya mshahara ujueView attachment 1217177
Muda umeisha jamaniUlipost kabla ya offer kutolewa.
Post Tena sasahivi mama...hela hizo nje nje .
Nshapost kama tatu
Wewe hutumi zawadi?
Umeona eeh...wamtumie kwa kweli.Watume tuu
Sio kwa kujilipua hukoo
Nimepokea kwa mshipa 10,000 ahsante sana mshipa.
KumbeMuda umeisha jamani