My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,883
Ukijani kijani
Hujambo mkuuNiambie ely
Mimi pia dota, uje unitembelee kwa kweli.



Mimi sijambo sijui WeweHujambo mkuu
Vizuri sana kama hujamboMimi sijambo sijui Wewe
Unakuja shamba huku unamtembelea daddy yako.![]()
Sasa nakutembelea wapi Dady
Vizuri sana kama hujambo
Mimi niko poa/salama kabisa mkuu

Hujui pa kumtembelea baba yako!!!![]()
Sasa nakutembelea wapi Dady
Wa kienyejiMzee wa kuku...![]()

Unakula ugali na kijiko. Jamaniii !!!
Kenti bilivu zisi. Hujaula huu ugali peke yako

Jamani Shimba.....ni leo tu 😁😁Unakula ugali na kijiko. Jamaniii !!!
Uliumaliza huu?
Shimbaaaa 😐😐 Don't be doubting me like that 😌Kenti bilivu zisi. Hujaula huu ugali peke yako![]()
Nicely mkuu
Unakuja shamba huku unamtembelea daddy yako.



