Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Tatizo mume wako ni nomadic farmer [emoji16][emoji16]Hujui pa kumtembelea baba yako!!!
Hapa saa hizi sijui hata anaongelea shamba lipi maana kila mwezi anahamia shamba jipya na ndiyo hadi aseme sasa [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]