Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Haiwezi kukupita jiraniAh ikinipita hii basiiii tena nakata rufaa
Haiwezi kukupita jiraniAh ikinipita hii basiiii tena nakata rufaa
Daaah we mwanamke, nimeelewa hayo maharageMara moja moja if the mood permits [emoji846][emoji846]
View attachment 1625908View attachment 1625909
Yalikuwa matamu sana kwakweli🙂😋Daaah we mwanamke, nimeelewa hayo maharage
[emoji7][emoji7][emoji7]Asante [emoji173][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Daah nimependa ulivyonyoa na una kichwa kizuri
būsisi - ukwaju - tamarind - tamarindoUchachu wake ndiyo utamu wakeView attachment 1625739
Nakuona bageshi. Naona majimbo yanataka kukuelemea. Chagua vizuri [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haha...Hamo lolo ng'wanike emaga nalindele olipuke(In SHIMBA YA BUYENZE voice)
Mmmmmmh
Yes love!
@Karma unamuona huyu msukuma!!!Una maneno dah! Halafu yanakutokaga tu kama kimiminika kilicho kwenye chupa iliyogandamizwa [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
NiniMmmmmmh
Habari za asubuhi mkuuNini
Nzuri kabisaHabari za asubuhi mkuu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mimi sio mnyonge mimi ni simba mla swala[emoji13][emoji13]Usiwe mnyonge hvo kama fran bhna na ww
Huyu mheshimiwa unaempikia viutamutamu hivi mbona anakomaMara moja moja if the mood permits [emoji846][emoji846]
View attachment 1625908View attachment 1625909
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mpe salamuMmmh ungejua tunawasiliana [emoji5]