Wacha weeeHata kama milioni hela ya bia mimi natoa tu
Nikipenda huwa napenda kweli kweli
Nikizama huwa nazama mazima
Jitahidi sasa na wewe uwe na mbinu za Kimkakati lohHawa watakuwa waumini wa gwaji wana mafunzo hatari![]()
NDIYOWacha weee
Naomba uwe makamu wa rais pindi serikali yangu ikichukua nchiBora uchukue tu nchi mnamtesa mtu chake wangu.
Asing'ng'anie madaraka bwana mwishow yakamkuta ya mtu wa marekanNiachie nchi mkuu


Krivu tuzame wote mkuuHata kama milioni hela ya bia mimi natoa tu
Nikipenda huwa napenda kweli kweli
Nikizama huwa nazama mazima
Usijali hapa ndo kuna siri zote za uendeahaj nchJitahidi sasa na wewe uwe na mbinu za Kimkakati loh
Nampa mtoto mkali ..wewe na baby wako T 1990 ELY lazima muone wivuMkomboe kwenye ilo jahazi![]()
Sawa rais wa nchi yako😅😅Usijali hapa ndo kuna siri zote za uendeahaj nch
SawaKrivu tuzame wote mkuu
😅😅😅😅Sawa
Vipi una vifaa vya uokozi pindi tukizama mazima?
Maana mimi hapa nina kifaa tiba tu
Usijali me fundi wa kuogelea dyaaSawa
Vipi una vifaa vya uokozi pindi tukizama mazima?
Maana mimi hapa nina kifaa tiba tu