Inabidi mpambane humohumo
Alichokiunganisha Mungu mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Vumilia katika yote,Shida na misukosuko ni upande mwingine wa upendo.
Uvumilivu ni sifa mojawapo ya upendo
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee,Yu pekee,
Yeye hawezi kutusahau,
Hata gizani anatulinda,
Hakika,hakika,
Yesu ajua Shida zetu
Aweza kutuokoaView attachment 1625214