Sasa wewe mbona mchoyo?Hapa yaani hata kama umetoka wapi huko we osha mikono tu kamatia ugali hakuna atakayekuuliza. Na ukikuta wanamalizia malizia unapikiwa mwingine hata kama ni mgeni hawakujui. Nilijifunza mengi katika mfumo huo wa maisha...
Ulishaniomba mapacha nikakunyima? [emoji51][emoji51][emoji51]Sasa wewe mbona mchoyo?
Shimba sasa umevuka mipaka[emoji23][emoji23]. Nina wivu ajabu mzee baba...Ulishaniomba mapacha nikakunyima? [emoji51][emoji51][emoji51]
Rafiki ujue nimekumiss hebu tupia kdg basi nikuone
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Rafiki ujue nimekumiss hebu tupia kdg basi nikuone
Nimetupia sana rafiki yangu huko juu.....Rafiki ujue nimekumiss hebu tupia kdg basi nikuone
Nyie ni wakarimu sanaHapa yaani hata kama umetoka wapi huko we osha mikono tu kamatia ugali hakuna atakayekuuliza. Na ukikuta wanamalizia malizia unapikiwa mwingine hata kama ni mgeni hawakujui. Nilijifunza mengi katika mfumo huo wa maisha...
Nimekoma kamanda. Sitarudia tena [emoji16][emoji16][emoji16]Shimba sasa umevuka mipaka[emoji23][emoji23]. Nina wivu ajabu mzee baba...
Mmmh Rafiki ,sijaona hata moja ,hebu tupia hata kuleeNimetupia sana rafiki yangu huko juu.....
Nimekumiss pia Rafik yangu..kitambo mnooooo loh
Nipo Rafiki mambo mambo tu ya mjini, vipi lakini Rafiki[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Aiseee ulipotelea wapi
Huyo ni shemeji yako, utani utani mara anahamasika.[emoji23]Nimekoma kamanda. Sitarudia tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Safi tu rafikiNipo Rafiki mambo mambo tu ya mjini, vipi lakini Rafiki
😁😁nitatupia baadae rafiki yangu halafu nitakutag sawa eeMmmh Rafiki ,sijaona hata moja ,hebu tupia hata kulee
Ulishaniomba mapacha nikakunyima? [emoji51][emoji51][emoji51]
Shimba sasa umevuka mipaka[emoji23][emoji23]. Nina wivu ajabu mzee baba...
Nimekoma kamanda. Sitarudia tena [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni shemeji yako, utani utani mara anahamasika.[emoji23]
Hahahaha, Fanya hivyo Rafiki[emoji16][emoji16]nitatupia baadae rafiki yangu halafu nitakutag sawa ee
Safi kabisa ,nafurahi tupo tena jukwaani, ila usifichwe sana basi RafikiSafi tu rafiki
Za siku nyingi