Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu nikuulize swali?
Hapa duniani tuko watu zaidi ya billion saba ukiacha wanaokufa na wanaozaliwa kila siku je una uhakika ni binadamu wote wanajihusisha kwenye mahusiano ya kimapenzi au wanaoa/wanaolewa na wanazaa watoto?
 
Nahitaji kujua hili pia, tena ikipendeza ufafanuzi uwe vizuri kabisaaa, nipate kuelewa.
 
Nahitaji kujua hili pia, tena ikipendeza ufafanuzi uwe vizuri kabisaaa, nipate kuelewa.
Daah hapa kidogo nitashindwa kukupa ufafanuzi vizuri juu ya hili! Lakini nafikiri jaribu kugoogle maana ya haya maneno mawili "Asexuality" na "Gamophobia" ndiyo utanielewa vizuri nilichozungumzia hapo!
 
[emoji1]amen

Naomba ujiselfishe sasa,serikali imerudisha mtandao wetu
 
Mkuu nikuulize swali?
Hapa duniani tuko watu zaidi ya billion saba ukiacha wanaokufa na wanaozaliwa kila siku je una uhakika ni binadamu wote wanajihusisha kwenye mahusiano ya kimapenzi au wanaoa/wanaolewa na wanazaa watoto?
Siku nikukutana na wewe lazima nikachape vibao viwili vizito uamke kwenye huo usingizi ulionao
 
Mimi hata nikiwa billionaire! Sioni uhitaji wa kuwa na mwanaume wala watoto kwa sababu sipendi kufanya tendo la ndoa wala siko tayari kujicommit kwenye mahusiano au ndoa!
Mimi nikitengamaa nadhani nitakuwa na uhitaji huo
Sasa hivi hamu naitoa wapi hata direction Sina.

Kwa jinsi ninavyopenda watoto Mungu anipe tu japo mmoja..na anipe mume mwema,nikikosa kabisa mume mwema basi nitabaki hivi japo kubaki hivi ni option ya mwisho.
 
Mkuu nasubiri picha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…