[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeah we songa tu mbele kama injili tenda wema nenda zako usisubiri fadhilaShida ni matarajio makubwa kutoka kwao
Ndicho kinachoumiza.
Ila ngoja nijifunze,nawapenda wao wasiponipenda mbele kwa mbele hivyohivyo.[emoji1787][emoji23][emoji23]
Saint Anna[emoji7]Karibuni wazee, weekend imeanza hiviView attachment 1621280
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeah we songa tu mbele kama injili tenda wema nenda zako usisubiri fadhila
Kuna msemo mmoja niliuona unapostiwa sana status eti, "Ushawahi kutenda wema ila ukatendewa jambo hilo hadi ukakosa nguvu za kwenda zako" haki nilicheka.
Mwambie pump attendant akuongezee lita 20 nakuja kulipa
Leta hiyo hela kwanza π€ͺπ€ͺMwambie pump attendant akuongezee lita 20 nakuja kulipa
Wewe mwambie akuhudumieLeta hiyo hela kwanza [emoji2957][emoji2957]
Kwema kabisa mkuu..nimeikumbuka jeiefu na watu wakeπ₯°π₯°Wewe mwambie akuhudumie
Nipo karibu na ulipo
Vipi kwema lakini mkuu
Wapi huko?Karibu huku
View attachment 1621370
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuuKwema kabisa mkuu..nimeikumbuka jeiefu na watu wake[emoji3059][emoji3059]
Mtandao unakatisha tamaa sana mkuuVizuri sana kama ni kwema kabisa mkuu
Ulikuwa umepotea
Karibu
πππwacha weeeWewe mwambie akuhudumie
Nipo karibu na ulipo
Vipi kwema lakini mkuu
Hakuna cha maana baba..ππWatu mnakula maisha tu dah !
Anakuzingua trust me, hakuna binadamu asiependa kupendwa.Dah! Dota huenda mimi na mama yako tulikosea katika malezi au niaje? Hutaki kupendwa? Duniani humu kuna kitu kinaleta raha kama kupenda na kupendwa!!!
Tofautisha kupenda kupendwa na kuwa na matarajio makubwa kwa mtu unaempenda. Inshort hakuna binadamu asopenda kupendwa na ni raha sanaaa kupendwa.Afadhali na wewe umenielewa
Kama unaweza kuwa hivyo nakushauri we kuwa tu hivyo itakusaidia sana na kukufanya uwe na furaha muda mwingi
Kuna watu huwa tunajua kupenda ila hatujui kupendwa na hili ndiyo kwa asilimia kubwa linafanya wengine tuogope kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi
Kwa sababu mtu akijua unampenda kuliko yeye anavyokupenda atakunyanyasa hadi ujute na ndiyo chanzo cha mahusiano mengi kufa sasa ya nini yote hayo
Unajipa moyo kuwa unapendwa kumbe haupendwi halafu ukijua unaanza kuumia wakati ungelijua hilo mapema wala usingeumia
Moyo wa mtu kichaka