Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] We SHIMBA YA BUYENZE njoo huku uone chai ya ndugu yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karma Usinifanyie hivyo jamani [emoji24][emoji24][emoji24] Shimba is already mad at me [emoji19]
Nimeamua kukaa kimya tu na kusubiri wikendi. Wikendi nayo ikibuma naona na uzi huu nitahama kabisa. Imagine pengine hii chai ya mchana tayari ndo lunch yenyewe na si ajabu hata breakfast hakula. Mtu unakula brunch ya hivi. Hata ukiambiwa uishi kweli utawezana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…