Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeona enh! Kamwili kadogo ndiyo mpango mzima aisee mie lazima nifanye namna nipungue japo watu wananiambia nisipungue nitatisha!
 
Kuna yule dada yako unayemfata ana mwili mzuri Sana.

Wewe sasahivi pungua tu hata kidogo,baadaye ukishazaa utakuja kunenepa Sana hadi utakuwa unatisha.
 
Lizzy jamani Lizzy. Whati izi dis? Yaani kweli tangu mchana umeniahidi kuwa jioni utapiga msosi hasa wa kueleweka large portion (your cheat day) kumbe mbwembwe bado zinaendelea kha!

Ai givapu kwa kweli. Endelea tu sasa kutokula umzidi hata Flaviana Matata ushuke kidogo mpaka kwa yule mama mwimbaji wa Kanada sijui Seline Dioni sijui nani yule niliona picha zake mpaka nikaogopa.

Toto disapointimenti kwa kweli...

 
Bible knowledge umeiva
Mi kilaza tu,nachanganya mafile sana siku hizi nimekuwa mvivu sana.

Exodus ilikuwa haichoshi.

Kuna vitabu vilikuwa na changamoto ,Judges,Samuel ,Kings ...
Wananukuu tu mstari,maswali yote yanatoka hapo.
Sasa kama wewe hukusoma hiyo verse na hiyo chapter chenga ndo unaenda na maji hivyo..picha inaanza hukumbuki chapter ilikuwa inahusu nini

Kwaujumla old Testament ni tatizo ..
New testament ndo ilikuwa mteremko.
 
Duuh ana anorexia nervosa au nini
Halafu nilisikia ana kansa ya koo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…