Wewe haina haja ya kukuomba urafiki..[emoji23][emoji23] wajua kwanini
Ila we mzuri buana..[emoji7][emoji7]
Kwani hakuna wadau wengine wakaongeza 20,000 aweke bana mimi mwenyewe nataka kuona sura nahisi itakuwa amaizing sana...
. Wanaume wa jf mnakwama wapi jamani? 30,000 tu mburudike?
[emoji23][emoji23]Mbona hujaniomba au kisa mbaya? [emoji26]
Watasema nini sasa na tumewapiga KO
Mods wataniweka display kama walivyomfanya mzigua [emoji23][emoji23]
Jana mchana display kulikuwa na bonge ya HB cha ajabu namsaka kwenye comments simuoni
Na ujitahidi kunywa detox water mamaaUmenisaidia nitafanya hivyo maana mimi najiachia.
Mali za mume wetu zinashikwaje kizembe zembe hivyo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hapo nawasiliana na Mzigua90 tukazishusheView attachment 1221524
Nilikua naenda send off ya rafiki dadaaSana tunacheza ligi moja mdogo wangu. Hapo ulikuwa unaenda wapi?
Hapana.
Natoa zawadi ya mwekundu kwa picha 3 bora... Ficha macho tu.. (Spesheli kwa wadada)
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]Nakuona[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mwekundu mmoja?
Wekundu wa3 lakini picha ziwe halisi
Nasubiri mtume wote mkishamaliza natengeneza pics video Mana hvyo v emoj na virangi hvyo nishavitoa zimebaki picha halisi Sasa ndio tujuane vizuri[emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Tupia vitu mama[emoji7][emoji7]Mshindi kapatikana au bado?? Sitaki mchezo na hela
Kwani hakuna wadau wengine wakaongeza 20,000 aweke bana mimi mwenyewe nataka kuona sura nahisi itakuwa amaizing sana...
. Wanaume wa jf mnakwama wapi jamani? 30,000 tu mburudike?
[emoji23][emoji23]
Mzuri buana rafiki yangu mzigua
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kwani huwa wanasemaje?