Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,665
Nguvu ya soda haifui dafu hapa,,,,,,,
Lina minofu ya haja!Kama nguruwee
Nangoja watu wapungue nijilipue [emoji91][emoji91]
Unanisema huku najiona 😭😭Nguvu ya soda haifui dafu hapa,,,,,,,
Hivi mbona wanaume hawasifiani Kama wadada?
HallelujahAmina sana..
Mungu atatenda
Hahahahaha kazaneni kula ila ukijijua unakuwa kabati bora kuwa model tuUnanisema huku najiona [emoji24][emoji24]
Ndiwooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti tumefanana
Mods wataniweka display kama walivyomfanya mzigua 😂😂Muda mzuri ni saa nane usiku
Acha uchochezi wakoo banaMpe panadol kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Beautiful kapeace weweh!
😂😂 nakuja PM[emoji39][emoji39][emoji24][emoji24]
Watch
Mali za mume wetu zinashikwaje kizembe zembe hivyo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Picha tu mwenza. Unataka niachwe ubaki mwenyewe eeeh?? HATUACHANI
Usija kabisaaAsantee
Si wajua tena hii lugha ilikuja na meli