Yaani...na humu ndani hamna visu kuna mapanga kabisa!😁Ukizubaa tu umeliwa walaqhi'..!!
Hiyo hela ni ndogo sana mtu kujilipuaaTuko wengi tunaosubiria hiyo pesa.
Kwa mshanaIko wapii
Hiyo hela ni ndogo sana mtu kujilipuaa
HairuhusiwiUnamsifia Kama amependeza![]()
Haki ya Nani.The Don mkubwa wa kilinge Jr... Mwenyewe![]()








Humuamini mtoa mada?Kasema watatu najilipua.. Ila nataka uhakika kwanza naipataje hiyo pesa...
Sura ipo ya maana sana sina nachoogopa
OhoooHakuna kufuta halafu

Ndio maana tunaitwa wanaume
Wanaume Bwana.
Yaani mnaishi kigumu gumu tu
Humuamini mtoa mada?
Ndio maana tunaitwa wanaume
Mara nyingi ukipaliwa unakuwa umekula zile antennae ziko kama nywele ndo huwa zinakwama kooniBukoba moja hiyooo ,hao wadudu watamu sana, nishawahi hadi kupaliwa sijui nilikula hadi kimguu chake![]()
,ulafi huu
Huu uzi mzuri sana ila kufatilia comments ama nani kaweka nini inahitaji umakini mkubwa sana![]()
Hawezi kudanganyaKabisa..... Hajatoa uhakika