Selfika na JF: Snap it. Show it

hongera kwa kumpoteza rafiki muhafidhina

Alikuwa jirani yangu,tumekua wote,tumesoma wote ila yeye alikuwa mkubwa kwangu maana alirudia olevel.

Shule walijua sisi ni ndugu wa damu,
Chuo tulienda wote, wazazi wanajua tuna watoto ndugu wanasaidiana huko,mwaka wa kwanza,mwaka wa pili tumeishi poa tu.
Alikuja kuniporomoshea matusi kisa maandamano ya dada wa Taifa
Halafu ubaya wake alikuwa hakawii kulia ukijibu mapigo
 
Hapana naomba nikupinge, naweza kuwa mpinzani lakini siasa za Magu zikanifurahisha. Wengine hatupo kivyama bali tunaangalia mgombea ana uwezo gani.

Nilikuwa pro Slaa, akaja Lowasa sikufurahia, leo naona Magu is doing well na sitaki kuangalia chama coz kinafanya watu wanakuwa kama walikunywa maji ya benders(wafia vyama)
 
Uvyama unaharibu watu.
Watu wamebaki kushikilia uchama.
 

Sasa siasa za Magu zina tofauti gani na siasa za ccm eti jamani Daddy
Vyama vyenyewe siku hizi vimekuwa bendera fuata upepo
 
Mwishowe utasema nikuletee na wafanyakazi , mbegu I'm not sure pale kilimo uyole b mkubwa anachukuaga zile nzuri nitauliza miundombinu ikoje maana wanajigawaniaga tu
Mali za CCM

Wafanyakazi wa nini wakati mimi nipo?

Mbegu nitatafuta,nikikosa hiyo uliyoitaja nitatumia hata ya kienyeji.
Ila siwezi kosa.. kikubwa mbolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…