Huoni mvua ni za kuchelewa sana, huoni jua limekua kaliiii sana huoni kuna viumbe hatuvioni siku hizi yote hiyo kwa kuwa mwanadamu amekua ni mharibifu namba moja wa mazingiraMisitu haijawahi kuisha
Miaka nenda miaka rudi wanapikia kuni
Milima hupendeza macho sanaTatizo walimwengu, dunia na vitu vingine ni kama paradise
Poleeeee sana mdogo wangu tumeumbwa kwa mavumbi tutarudi vumbini ni muda tu hutofautiana nani anatangulia, pole moyo wako umkumbuke bwana kwa matendo mema na mazuri hapa duniani, ili ukiondoka duniani ukaione paradiseNajua ya kwamba Waweza kufanya mambo yote
Na makusudi yako hayawezi kuzuiliwa.
Mungu unayeishi,Alpha na Omega
Weee ni mkuu Sana
Moyo wangu unavuja damu[emoji174] ila kwako lipo tumaini[emoji119][emoji24]View attachment 1619377
Watumishi tupo wengi kumbe safi sana shimba pepo ni yetu tukiondoka hapa duniani,Asante Mtumishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1619369
Na leo afadhali kidogo. Keep it up [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji16][emoji16][emoji16]
Peponi tutafika kwa neema za Mungu tu kamanda japo kuzishika Amri zake na kuwatendea mema binadamu wenzetu ni muhimu sana pia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Watumishi tupo wengi kumbe safi sana shimba pepo ni yetu tukiondoka hapa duniani,
Namuahidi shetani hatutoonana motoni, mvinyo ni suala linaloleta Sana mkanganyiko Cha muhimu ni kutenda matendo mema tu vilivyopo duniani tuvitumieAsante Mtumishi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1619369
Hakika mkuu, Mungu ni Mungu wa kuangalia mioyo yetu na matendo yetu, tumtumikie kwa nguvu zetu zote na tumpende,Peponi tutafika kwa neema za Mungu tu kamanda japo kuzishika Amri zake na kuwatendea mema binadamu wenzetu ni muhimu pia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Na ikawe hivyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Namuahidi shetani hatutoonana motoni, mvinyo ni suala linaloleta Sana mkanganyiko Cha muhimu ni kutenda matendo mema tu vilivyopo duniani tuvitumie
π€£π€£π€£π€£ Shimba unavyonijali jamani π€π€Na leo afadhali kidogo. Keep it up [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji16][emoji16][emoji16]
I take back my compliments [emoji51][emoji51][emoji51]. Mi nafikiri umejitahidi angalau umevifukia vibonge vyote viwili kumbe umeishia matonge mawili tu. Kha![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shimba unavyonijali jamani [emoji847][emoji847]
Nimekula vinyango viwili na mchicha tu [emoji846] ila jioni ntajitahidi....
Unajua hadi leo sijapata kuelewa kama wewe ni mnene au mwembamba! Kuna baadhi ya picha zako unaonekana mnene kuna nyingine unaonekana mwembamba!
We nawe! Atakuwaje mnene wakati hali? Mtu anakula matonge mawili na mchicha atanenepaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099]Unajua hadi leo sijapata kuelewa kama wewe ni mnene au mwembamba! Kuna baadhi ya picha zako unaonekana mnene kuna nyingine unaonekana mwembamba!
Unadhani hata yananihusu basi [emoji23][emoji23]
I am just concerned [emoji85][emoji85]
Pole kwa msiba. Mpendwa wako apate pumziko jema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
AmenPoleeeee sana mdogo wangu tumeumbwa kwa mavumbi tutarudi vumbini ni muda tu hutofautiana nani anatangulia, pole moyo wako umkumbuke bwana kwa matendo mema na mazuri hapa duniani, ili ukiondoka duniani ukaione paradise
Miaka yote iliyopita kupo hivyohivyoHuoni mvua ni za kuchelewa sana, huoni jua limekua kaliiii sana huoni kuna viumbe hatuvioni siku hizi yote hiyo kwa kuwa mwanadamu amekua ni mharibifu namba moja wa mazingira
π€£π€£π€£π€£π€£ Shimba nshakwambia...huu mwili hata hauna adabu. Kujinyima kote kwangu bado wanaingia Flaviana wawili ππI take back my compliments [emoji51][emoji51][emoji51]. Mi nafikiri umejitahidi angalau umevifukia vibonge vyote viwili kumbe umeishia matonge mawili tu. Kha!
Bila shaka utakuwa na mwili kama wa Flaviana Matata wewe si kwa nyodo hizi wallahi....