Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwahiyo mkuu tusioe tu mkuu maanaa ni karaha, ila ngoja nioe tu nitajua nitambana wapi au vipi
 
Najua ya kwamba Waweza kufanya mambo yote
Na makusudi yako hayawezi kuzuiliwa.

Mungu unayeishi,Alpha na Omega
Weee ni mkuu Sana

Moyo wangu unavuja damu[emoji174] ila kwako lipo tumaini[emoji119][emoji24]View attachment 1619377
Pole kwa msiba. Mpendwa wako apate pumziko jema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…