Hakika umependeza mno..ujua kupangilia nguo mzeeπππvyote leo vimesimama kinoumaπππ.
Unaakili mbaya jirani ujueππUnajisikiaje jirani [emoji38][emoji38]
ππBlack is beauty
Asantee bestie ππ ivo ivo kidogo kidogo tunajaribu... si unajua tena umaridadi huficha umaskini πHakika umependeza mno..ujua kupangilia nguo mzeeπππvyote leo vimesimama kinoumaπππ.
Shirt la leo ni kizuri sana kuliko hata lile la mwanzoππππ
Karibu MkuuNipe namimi
Mimi kwenye daladala sikuwepo mkuu[emoji38]Kumbe hujui kuna mdada alimwambia dogo mmoja kwenye daladala kuwa unavyonipapasa hunisisimui nakuona upo kama mimi tu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Lizy kama lizy sawa mama la mama, lakini hawa vijana wa kucha wanatembelea nyota sana ni noma wanakunja sana dada zetuI guess hapo ndo watu tunapotofautiana [emoji57][emoji57]
Mf. Kwangu mimi massage ya spa/salon itanifanya ni-relax lakini haiwezi kunipa hisia hizo unazozizungumzia. Yani kwa ufupi ni kwamba kushikwa mkono tu na mtu nnaemuelewa ni much more effective kuliko full body massage from a stranger.
Mbeya na milima yake nimekumiss mdogo wa mimi
Ahsante sana mkuu ubarikiwe mkuuKaribu Mkuu
Nawe piaAhsante sana mkuu ubarikiwe mkuu
Umenikumbusha mbali sana na hilo tundaNawe pia
Ooh kumbe , umekumbuka Nini hapoUmenikumbusha mbali sana na hilo tunda
Milima hii inatia sana uvivu halafu inafurahisha,Mbeya na milima yake nimekumiss mdogo wa mimi
Tunda kama tunda sijayala muda mrefu,Ooh kumbe , umekumbuka Nini hapo
Mazoezi hayo acha uoga [emoji38][emoji38][emoji38]Milima hii inatia sana uvivu halafu inafurahisha,
Yaani mnapoenda ni Karibu ila mnajikuta mnauzunguka tu milima.
Kama hapo tulitumia saa nzima tunazunguka tu hapohapo hizo kona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mazoezi hayo acha uoga [emoji38][emoji38][emoji38]
Bado tu mnalialia??[emoji23][emoji23][emoji23]Twende kwenye jukwaa la siasa ukajibu mashtaka kwa nini umeipigia kura CCM ambayo safari hii badala ya kuiba kura imelawiti uchaguzi
Ziko wapi kura feki??Sasa kama Lissu alikuwa hawezi kushinda zile sandarusi za kura fake pamoja na viroba vya kura fake ambavyo CCM ilikamatwa navyo vilitoka wapi?
πππ hiyo ishu nasikiaga sana na najua ipo ila bado ni ngumu kumeza π€[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Lizy kama lizy sawa mama la mama, lakini hawa vijana wa kucha wanatembelea nyota sana ni noma wanakunja sana dada zetu