Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Pole bossthis is TANZANIA
Noma sana mkuu. Inasikitisha sana.
Pole bossthis is TANZANIA
Kwahiyo ulikuja bongoland kukiwasha, ulikua upande gani ule wapili?Noma sana mkuu. Inasikitisha sana.
Umetimiza haki yako ya msingi usilalamikeWasted my damn time and money for that joke of an election. Hakuna noma lakini, ipo siku.
View attachment 1616102
Wanamuita mbuzi katoriki
Umetimiza haki yako ya msingi usilalamike
Sio MchezoHiyo Aisee ndio imenifanya niutazame wimbo nikajua ni uzuri wa wimbo kumbe mauno ya huyo bidada🙄🙄
Anyway kama ni mauno kaangalie uswazi take Away ya chege.. kama ni uzuri wq wimbo (Arabic/Indian accent) mtafute mdada anaitwa Vidya vox anasauti amaizing sana. Anza na huu.
Nipo mdogo wangu.. hapa natumia Browser kuingia JF najionea tabu.
Ha ha uncle anaonekana muoga kweli wa mashine, au hajamzoea huyo kinyozi?
🤣🤣🤣🤣🤣 mbishi tu. Mchana nilimwambia azichane akishaoga ili akienda salon zisizingue akaniona namchosha ila raha kaiona 😆😆😆Ha ha uncle anaonekana muoga kweli wa mashine, au hajamzoea huyo kinyozi?
Kumbe ulimpa taarifa kabisa ha hambishi tu. Mchana nilimwambia azichane akishaoga ili akienda salon zisizingue akaniona namchosha ila raha kaiona
![]()