Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Msukuma tena wa kijijini na vijiti wapi na wapi? Miye navitupaga tu huko. Napendelea finyango zaidi katika ulaji wangu...Kabisa 80%...isipokuwa kunywa soup tu..
Napenda kuvitumia ila sivipatii %100 namna ya ushikaji.
Naomba ujitolee kunifundisha mkuu



