ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,390
- 118,834
Nimependa vidole!Yes Eli.....
Nimependa vidole!Yes Eli.....
Kazi kazi mpaka kieleweke. Safi sana kamanda
Unajua kula kwa kutumia hivyo vijiti mpaka ukashiba na kuridhika?
Naamini kuwa hii ni appetizer mkuu; na main course inakuja. Niko sahihi?



Kabisa 80%...isipokuwa kunywa soup tu..Unajua kula kwa kutumia hivyo vijiti mpaka ukashiba na kuridhika?
Nimeiona vizuri kwenye kivuli cha kikombe imependeza.
😅😅😅sawa mkuuNimeiona vizuri kwenye kivuli cha kikombe imependeza.
Natamani ningekuwa nimekaa/nimesimama kwa mbele yako
Mimi mzima sana mkuu....Hey Ely..poa poa. Mzima?
Thank you for asking.....bado bado homa inasumbua kimtindo, hali ya hewa nadhani.
That's good!!Mimi mzima sana mkuu....
Mwambie uncle anasema pole