Selfika na JF: Snap it. Show it

Mrembo wangu wapi mkuu kanikataa nipo nakufa na utamu wangu kama muwa....
Haiwezekani mkuu mtoto anaonekana ameshakami
Afadhali umekuja mkuu maana nilishanyanyaswa hapa hatarii
Mimi menu yoyote mamy nitaikubali tuu maana menu zako huwa ni hatariii πŸ˜‹
 
Haiwezekani mkuu mtoto anaonekana ameshakami

Afadhali umekuja mkuu maana nilishanyanyaswa hapa hatarii
Mimi menu yoyote mamy nitaikubali tuu maana menu zako huwa ni hatariii πŸ˜‹
😊😊😊

Walokunyanyasa wote tutawa-tag kwa fujo mpaka wakome. We ngoja hiyo breakfast yako iwe tayari 😏😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…