Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila mwanangu inaelekea wewe ni mwembamba sana.😁😁
Naomba zile karatasi nyekunduku kuleeee nikajaladie daftari za mwanangu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kumbe hujamuona?
Iko siku alijitoa ufahamu hapa akaweka full
 
Mi nasubiri breakfast ya Lizzy misosi yake huwa ni baabkubwaπŸ˜‹πŸ˜‹ yani nikiona tu hapa njaa potelea mbali
Amka Lizzy njaa inauma mama angu
Mjep pole sana rafiki yangu kwakukosa breakfast ya maana leo. Subiri ntakuandalia kitu matata kabisa one of these days πŸ™‚πŸ™‚

Chagua kabisa menu nianze maandalizi mdogo mdogo 😊

πŸ‰πŸ₯­πŸπŸ₯‘πŸ₯žπŸ₯―🍞πŸ₯–πŸ₯β˜•πŸ΅πŸ§ƒ
 
Lizy bado yuko bagamoyo mkuu usimdistabu..kiporo cha wali ndondo utakutana nacho jumatatuuuu..

Bora kwa huyu msukuma wangu T 1990 ELY yye huwa anakulaga fyitu fya kibabe.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Chakorii we ni advocate mzuri sana wa haki za watu kupumzika.

Mjep anaonekana ni wale wakaka wanaotakaga hata weekends ma-bae zao waamke mapema kuandaa breakfast 😫😫😫
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…