Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ukimshirikisha Mungu hakuna linaloshindikana.
Tatizo huwa hamtaki kusali na kumsikia Mungu.
Mnajiendea endea tu mnavyotaka..lazima ukubali kulipa gharama ya muda na utii wa kusikia,
Huwezi ukasikia Kama huna Roho mtakatifu,Huwezi kuwa Naye Kama mazingira yako si masafi,anakaa mahala pasafi tu.
Angalia hayo,kuna sehemu utakuwa unakosea..
Pia muulize Mungu majira yako sahihi ya wewe kuingia huko Kama bado hayajafika au tayari.
Closely following.........!Watu wengi sana wanapenda mteremko,yaani hataki kujitesa kabisa;Anataka aombewe tu.
Amini hakuna mtu atakuombea vizuri kwa Mungu Kama ambavyo ungejiombea mwenyewe.
Personal fellowship with God
Wanataka nguvu za Mungu lakini hawahangaiki kumtafuta huyu MUNGU mwenye nguvu.
Wanataka miujiza ya Mungu lakini Mungu mtoa miujiza hawafanyi bidii kumsikia.
Kuna mbinu rahisi sana ya Mungu kujibu maombi yako..nikufundishe?
Nimeiona kweli 😊Nasubiri
Nilijua upo Dom. Nusu niseme unatembeaga na Mwalimu nchi nzima nini😄Ndiyo
naisubiria pia😊Watu wengi sana wanapenda mteremko,yaani hataki kujitesa kabisa;Anataka aombewe tu.
Amini hakuna mtu atakuombea vizuri kwa Mungu Kama ambavyo ungejiombea mwenyewe.
Personal fellowship with God
Wanataka nguvu za Mungu lakini hawahangaiki kumtafuta huyu MUNGU mwenye nguvu.
Wanataka miujiza ya Mungu lakini Mungu mtoa miujiza hawafanyi bidii kumsikia.
Kuna mbinu rahisi sana ya Mungu kujibu maombi yako..nikufundishe?
Poleni sana mkuu. Mungu awarehemu & kuwafariji sana 🙏Ndugu zang watoto wawili wamefariki kwa Ajari ya maji Mafuriko Haya ya juzi View attachment 1602660
Nadhani pia na wewe hutarudia kuniita vile.Usieudie kuniita hivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua upo Dom. Nusu niseme unatembeaga na Mwalimu nchi nzima nini[emoji1]
Oh jamani [emoji26]Ndugu zang watoto wawili wamefariki kwa Ajari ya maji Mafuriko Haya ya juzi View attachment 1602660
Sistahili hata kugusa kamba za viatu vyako.Closely following.........!
Yeah weng tuu wamekufa, Jangwan kun Mzee na Wanae wamekufaOh jamani [emoji26]
Hizi mvua zishakuwa balaa Sasa [emoji26]
Thank mkuu, AmiiinPoleni sana mkuu. Mungu awarehemu & kuwafariji sana [emoji120]
Weee usitake nianze kuandika magazeti usiku huu... Kazi yako ni njema sana; na huwa najifunza mengi sana kutoka kwako hata kama huwa sikuquote labda.Sistahili hata kugusa kama za viatu vyako.
Nahitaji kujifunza kutoka kwako[emoji4]
😄😄😄Hakuna kinachoshindikana mpendwa...ktk pitapita yake hapo ottu aweza kukuita ujiunge na kikosi 😁🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana sipo Dom
Naona unanipachika cheo kikubwa namna hiyo Cha kutembea na mwalimu [emoji23][emoji23]
Niwe nacho niringe[emoji1787]
📌But all in all; naamini kila mmoja wetu ana cha kujifunza kutoka kwa mwenzie.
Amina mtumishi unatema Sana madini # nitazingatia procedures
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mnasikiliza sound zangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naisubiria pia[emoji4]
Hahah![emoji1][emoji1][emoji1]Hakuna kinachoshindikana mpendwa...ktk pitapita yake hapo ottu aweza kukuita ujiunge na kikosi [emoji16][emoji1787][emoji1787]
Halafu niko hapa nasubiria hizo mbinu ujue kabla sijaingia kikaoni na Bwana mkubwa usiku huu[emoji4]
Amen[emoji120]Weee usitake nianze kuandika magazeti usiku huu... Kazi yako ni njema sana; na huwa najifunza mengi sana kutoka kwako hata kama huwa sikuquote labda.
Bidii yako isipungue wala kukoma.
But all in all; naamini kila mmoja wetu ana cha kujifunza kutoka kwa mwenzie.
Sio mbaya taratibu taratibu...ikiwa itampendeza Bwana na ikawe hivyoHahah!
Kwa majira haya wacha niendelee kumsikiliza..kuanza kuzunguka naye kwa kweli bado,naona sijafikia huko .
Aisee[emoji134][emoji134]Yeah weng tuu wamekufa, Jangwan kun Mzee na Wanae wamekufa Thank mkuu, Amiiin
Asanteee mwaya 😊🙏Mnasikiliza sound zangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1.Weka Neno la MUNGU kwa wingi ndani yako na litumie Neno lake maana halirudi bure
Neno la MUNGU ni Mungu Yoh 1:1(b)
Yeye mwenyewe alisema
"Ninyi mkikaa ndani yangu,na maneno yangu yakikaa ndani yenu,ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa"
You 15:7
"Maana Kama vile mvua ishukavyo,na theluji,kutoka mbinguni,wala hairudi huko;Bali huinywesha ardhi na kuzalisha na kuichipuza,ikampa mtu apandaye mbegu,na mtu alaye chakula;
ndivyo litakavyokuwa neno langu,litokalo katika kinywa changu;halitanirudia bure,bali litatimiza mapenzi yangu
Nalo litafanikiwa katika mambo Yale niliyolituma"
Isaya 55:10
2,Sadaka(sacrifice)
Do not pray empty words..
There is so sacrifice in something that costs you nothing..
Sacrifice inajenga memorial kwa Mungu
Mfano ni Cornelio
Acts 10:3
Sadaka zake zilipiga kelele mbele za Mungu