Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Uliandika nini??Nilitaka kukuza ubishi juu ya uhalisia wa figure yako na unavoisingizia kamera ila nikaona sio issue nikafuta
Nikisema niliandika nini ntakua naendeleza ubishi ambao nimeamua tuumalize.Uliandika nini??
Basi tu huamini maneno yangu [emoji23]
Halafu naomba ujiselfishe nikuone
Amen, many blessings to youAmen girlfriend.
Nilisahau kidgo,kwenye hizo radio zote hapo,jumatano,jumamosi na jumapili ni saa 09:00-10:00 usiku.
Ila pakiwa na semina ya Mwakasege 107.7 upendo [emoji817]uhakika saa kumi kamili jion -kumi na mbili jion mpka semina itakapoisha.hallelujah
Nikutakie safari njema๐ฅ๐ฅ๐ฅ
View attachment 1601954
Lips ya Taifa!
Nimewaaibisha wanaume wenzangu wa mkoa et?Yaani huto tumagimbi ndio twa kwenda kunyanyulia mahindi??
Hili neno hujawahi kuliachaga Behaviourist ๐๐Lips ya Taifa!
[emoji16]Roho huwa inaniuma nikikuta sehemu waliyoniquote imefutwa yaani [emoji134]Nikisema niliandika nini ntakua naendeleza ubishi ambao nimeamua tuumalize.
Selfie! Subiri 29/10 watu wakiwa busy jukwaa la siasa mi naweka, am sure utaiona peke yako
Mno
Kesho utaweka tumbo likiwa wazi?Naweka vipande vipande..vikikamilika mniumbe.kesho nitaweka tumbo na nywele [emoji41]View attachment 1602066
Tunataka fullNaweka vipande vipande..vikikamilika mniumbe.kesho nitaweka tumbo na nywele [emoji41]View attachment 1602066
KaribuNawahi uchaguziView attachment 1601497
Unataka full ee subiri hapo hapoTunataka full
Vipande tushavichoka[emoji2096]
Nini sasa..Aiseeeeee!!