Nishafeli mwee,, kesho itabidi nije kwa wajina wangu anipige maombi anisaidie na kutafuta mchumba maaana Kuna Uzi wanasema bila kuoa eti wanaume hatujakamilika

Nimekuja kumsalimu bmkubwa uyole hapa ntamkosa wajina na soon nageuka zangu ir, mkuu utanifikishia maombi kwa niaba namuamini Sana Yule mshua nadhani nitajibiwa

Oh nitayapeleka maombi yako kwa imani.
Yule baba nampenda mimi jamani..ooh hata mvua inilowanishe vipi lazima niende,anatema madini hadi mtu unachanganyikiwa..
Baba anaichambua Biblia hadi mtu unashangaa unasema Yes

Na ni msomi mzuri tu nadhani udsm alisomea Sheria to be honest Mimi ndio namkubali ana utulivu Fulani wa kipekee katika uhubiri wake hawa wengine wengine huaga nashindwa kuwaelewa wamekaa Kama wapiga dili