Asante mpenzi. Kubandika nimewaachia wataalam ππUmependeza sana na hizo short nailz
ππππsafi sana.makucha marefu huwa hayaubariki moyo wangu kabisa hata sijuagi kwaniniAsante mpenzi. Kubandika nimewaachia wataalam ππ
Sasa ujisahaulishe.πsibanduki atiiUsibanduke
Safi sana na π€π€umependeza hakikaNilikua nakusuburia muhakiki wangu π€πΎ
Ugali utakuja kukuua bageshi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Halafu ni vizuri ukajikaza kama mwanaume, halafu chunga sana usije ukaharibu watoto mtaani, maana ni kifungo cha maisha hicho, shauri zakoHeeeeeh hatimaye leo umeweka, uwiiiiiih [emoji4][emoji4]
Mbona hiyo picha kali tu!Nje ya keyboard za JF ila ukiwa JF ni kupost picha kali!View attachment 1597034
Naona likichwa limejaa baada ya kudanganywa una mikono mizur'PRO' majani tee π€π€π€View attachment 1599012
I suppose so πππNaona likichwa limejaa baada ya kudanganywa una mikono mizur
Anaenda mbele kama anarudi nyuma!Mbona hiyo picha kali tu!
Kwani ina Shida gani?
[emoji57]Anaenda mbele kama anarudi nyuma!
Mdogo wangu si ulinikataza nisiwe naweka ya kwangu lakini?![emoji57]
Wekeni za kwenu na nyie
[emoji57]Mdogo wangu si ulinikataza nisiwe naweka ya kwangu lakini?!
Huwa unaongea kama wale Taliban wenye siasa/imani kali![emoji57]
Kuponda watu utadhani mliwaumba nyinyi