Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
😁😁mihogo na ginger tea imenichoshaTia shavu
Black pepper inaniwasha hatari😋😋😋
😁😁mihogo na ginger tea imenichoshaTia shavu
Michache ?? Wew endelea kuwafariji wenzako wakat Mimi najua umri wako ni 23Wanafanya kwa nia njema.
Niliwahi kupata ajali,kwahiyo nikienda sehemu nikachelewa wanapata mashaka.(Hilo la kunisindikiza nimeongezea tu)
Ila huwa wanajaribu kufwatilia kama Niko salama.
Mbona umri mdogo kabisa huo
33 -35 michache Sana ati
Michache sana hiyoMichache ?? Wew endelea kuwafariji wenzako wakat Mimi najua umri wako ni 23
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hahahaha,haya bana ,nona week end ilikua nzurimihogo na ginger tea imenichosha
Black pepper inaniwasha hatari![]()
Michache sana hiyo
Huo umri ulioutaja utakuwa umejichanganya tu,mbona sio wangu!?!

ndio umri wako bna Mimi nimekupita 5 yrs Chukua 37 utoe na 28
Chukua 37 utoe na 28
Jibu utakalopata ndio umri niliokupita


uje uhesabu gunia tu nimekushindwa Akhsante kwa kunipa koneksheni mwee


Any time mkuu kazi kwako Ila hela utazopata usije honga masharobaroAkhsante kwa kunipa koneksheni mwee
Kazi naanza lini?
upo vizuri dada
Yaani nipate hela hadi za kuhonga!?!Any time mkuu kazi kwako Ila hela utazopata usije honga masharobaro
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app


😆😆Hahahaha,haya bana ,nona week end ilikua nzuri
Naomba unichoree picha mkuu za kuweka ukutani ni shngap?
Kuna mmoja alikuja way back akaanza pata visenti akawa anahonga mwanaume nilishangaa Sana sijui alikua anapewa NiniYaani nipate hela hadi za kuhonga!?!
A wapi
Nasubiri wanihonge
Labda alikuwa anamsaidia tu kwa Moyo wa upendo kama ambavyo unaweza saidia mtu mwingine yeyote.Kuna mmoja alikuja way back akaanza pata visenti akawa anahonga mwanaume nilishangaa Sana sijui alikua anapewa Nini
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wew noma mkuu,
Wew noma mkuu,
Je unawwza nichola pia