[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa dogo langu utavunjika kiuno bure ushindwe timiza Yale majukumu mengine hizi waachie wanaume
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mabinti zangu warembo Zoë na Heaven Sent wako wapi?
Basi karibu mkuu upige kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nipe koneksheni
Wewe tu 🙂🙂Ile ofa ya konyagi bado ipo mkuu?
Marahaba my daughter, love u too!Shikamoo daddy; love you
hii simu nili iona kwenye video moja ya mwanafunzi wa IFM sijui ntakua nakumbukumbu vizuri?
hii simu nili iona kwenye video moja ya mwanafunzi wa IFM sijui ntakua nakumbukumbu vizuri?
Naona unapata espressosA kapu ofu kofi fo furahideyi ivining [emoji41]View attachment 1588304
[emoji23][emoji23][emoji23]humu naona mnatuma picha ivoNaomba hivyo vinono[emoji7][emoji7]
Umejiziba mno bana,punguza emoj hiyo
Mimi umenipiga marufuku kujiselfishe kisa natisha?Haya mkuu
Jiselfishe sasa tukuone
Mambo ya toto tundu![emoji445][emoji445] band ya wadada tupu [emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 1588374
Wapi hii?[emoji445][emoji445] band ya wadada tupu [emoji123][emoji123][emoji123]View attachment 1588374
Nafasi Art...DarWapi hii?
Ipo mikocheni?nyuma ya ITV?Nafasi Art...Dar