Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Oct 1, 2020 #73,561 Saint Anne said: Mitano TenaView attachment 1586715 Click to expand... Mafiat mataa. Hayo matambara yamechafua jiji.! Disgusting!
Saint Anne said: Mitano TenaView attachment 1586715 Click to expand... Mafiat mataa. Hayo matambara yamechafua jiji.! Disgusting!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,562 REALNEGRONEVABROKE said: Mafiat mataa. Hayo matambara yamechafua jiji.! Disgusting! Click to expand... Our City is full of green
REALNEGRONEVABROKE said: Mafiat mataa. Hayo matambara yamechafua jiji.! Disgusting! Click to expand... Our City is full of green
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,563 Behaviourist said: Kwa hiyo unamkana na kumkataa kaka yako? Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,564 Behaviourist said: Kijana mdogo kama wewe ambae tunakutegemea katika kuleta mabadiliko kwenda kwenye mamikutano ya maCCM ni mambo ya aibu! Click to expand... Wewe waona ni aibu Mimi sioni aibu. Wewe endelea kuwa mfia chama Mikutanoni nitaenda maana ni haki yangu kusikiliza sera za wagombea kabla sijafanya maamuzi ya nani nimchague Hata wa Lisu nilienda
Behaviourist said: Kijana mdogo kama wewe ambae tunakutegemea katika kuleta mabadiliko kwenda kwenye mamikutano ya maCCM ni mambo ya aibu! Click to expand... Wewe waona ni aibu Mimi sioni aibu. Wewe endelea kuwa mfia chama Mikutanoni nitaenda maana ni haki yangu kusikiliza sera za wagombea kabla sijafanya maamuzi ya nani nimchague Hata wa Lisu nilienda
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,565 REALNEGRONEVABROKE said: Mafiat mataa. Hayo matambara yamechafua jiji.! Disgusting! Click to expand... Haya mkuu Jiselfishe sasa tukuone
REALNEGRONEVABROKE said: Mafiat mataa. Hayo matambara yamechafua jiji.! Disgusting! Click to expand... Haya mkuu Jiselfishe sasa tukuone
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Oct 1, 2020 #73,566 Saint Anne said: Wewe waona ni aibu Mimi sioni aibu. Wewe endelea kuwa mfia chama Mikutanoni nitaenda maana ni haki yangu kusikiliza sera za wagombea kabla sijafanya maamuzi ya nani nimchague Hata wa Lisu niliendaView attachment 1587410 Click to expand... Mlima Iwambi 'lango la kuzimu'..! Au wapi hapo? Hapa amesemaje kuhusu ile diversion ya S.t Mary's seminary? Au ndo tumepotezewa na mwenyekiti muongo muongo?
Saint Anne said: Wewe waona ni aibu Mimi sioni aibu. Wewe endelea kuwa mfia chama Mikutanoni nitaenda maana ni haki yangu kusikiliza sera za wagombea kabla sijafanya maamuzi ya nani nimchague Hata wa Lisu niliendaView attachment 1587410 Click to expand... Mlima Iwambi 'lango la kuzimu'..! Au wapi hapo? Hapa amesemaje kuhusu ile diversion ya S.t Mary's seminary? Au ndo tumepotezewa na mwenyekiti muongo muongo?
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Oct 1, 2020 #73,567 Chagua
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Oct 1, 2020 #73,568 T 1990 ELY said: ChaguaView attachment 1587427 Click to expand... Sehemu inapokaa mkia mkuu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,569 REALNEGRONEVABROKE said: Mlima Iwambi 'lango la kuzimu'..! Au wapi hapo? Hapa amesemaje kuhusu ile diversion ya S.t Mary's seminary? Au ndo tumepotezewa na mwenyekiti muongo muongo? Click to expand... Wewe ni mwenyeji wa mbeya eeh? Huu mlima unatisha sana. Mimi huwa naona bora nitembee namna hiyo kuliko kupanda gari hapo Mkuu siasa ni mchezo mchafu. Hizo zote ni propaganda tu.
REALNEGRONEVABROKE said: Mlima Iwambi 'lango la kuzimu'..! Au wapi hapo? Hapa amesemaje kuhusu ile diversion ya S.t Mary's seminary? Au ndo tumepotezewa na mwenyekiti muongo muongo? Click to expand... Wewe ni mwenyeji wa mbeya eeh? Huu mlima unatisha sana. Mimi huwa naona bora nitembee namna hiyo kuliko kupanda gari hapo Mkuu siasa ni mchezo mchafu. Hizo zote ni propaganda tu.
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Oct 1, 2020 #73,570 Chakorii said: Sehemu inapokaa mkia mkuu Click to expand... Mmmmmmh
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Oct 1, 2020 #73,571 Saint Anne said: Wewe ni mwenyeji wa mbeya eeh? Huu mlima unatisha sana. Mimi huwa naona bora nitembee namna hiyo kuliko kupanda gari hapo Mkuu siasa ni mchezo mchafu. Hizo zote ni propaganda tu. Click to expand... Home Land.
Saint Anne said: Wewe ni mwenyeji wa mbeya eeh? Huu mlima unatisha sana. Mimi huwa naona bora nitembee namna hiyo kuliko kupanda gari hapo Mkuu siasa ni mchezo mchafu. Hizo zote ni propaganda tu. Click to expand... Home Land.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,572 REALNEGRONEVABROKE said: Home Land. Click to expand... Okee Tuwekee kapicha sasa
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Oct 1, 2020 #73,573 T 1990 ELY said: Mmmmmmh Click to expand... Unaumwa jino mkuu
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Oct 1, 2020 #73,574 Saint Anne said: Okee Tuwekee kapicha sasa Click to expand... Hivi hili jukwaa ni la 'kuselfika'?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,575 REALNEGRONEVABROKE said: Hivi hili jukwaa ni la 'kuselfika'? Click to expand... La picha ndiyo Weka picha kabla hujaondoka
REALNEGRONEVABROKE said: Hivi hili jukwaa ni la 'kuselfika'? Click to expand... La picha ndiyo Weka picha kabla hujaondoka
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Oct 1, 2020 #73,576 Saint Anne said: La picha ndiyo Weka picha kabla hujaondoka Click to expand... Kazi za 'mabeberu'
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,577 REALNEGRONEVABROKE said: Kazi za 'mabeberu'View attachment 1587457 Click to expand... Wewe ni yupi?? Umejiziba mno,hatukuoni vizuri Punguza emoj tafadhali
REALNEGRONEVABROKE said: Kazi za 'mabeberu'View attachment 1587457 Click to expand... Wewe ni yupi?? Umejiziba mno,hatukuoni vizuri Punguza emoj tafadhali
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Oct 1, 2020 #73,578 . Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Ettore Bugatti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 4,123 Reaction score 8,253 Oct 1, 2020 #73,579 Saint Anne said: Wewe ni yupi?? Umejiziba mno,hatukuoni vizuri Punguza emoj tafadhali Click to expand... Nasubiri uchaguzi upite. Maana bado sijaandaa fighting zone na authority ya Jiwe. Unataka niwe detained nisilionje hata FAO langu la kujitoa?
Saint Anne said: Wewe ni yupi?? Umejiziba mno,hatukuoni vizuri Punguza emoj tafadhali Click to expand... Nasubiri uchaguzi upite. Maana bado sijaandaa fighting zone na authority ya Jiwe. Unataka niwe detained nisilionje hata FAO langu la kujitoa?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Oct 1, 2020 #73,580 REALNEGRONEVABROKE said: Nasubiri uchaguzi upite. Maana bado sijaandaa fighting zone na authority ya Jiwe. Unataka niwe detained nisilionje hata FAO langu la kujitoa? Click to expand... Weka tu,hakuna wa kukukamata
REALNEGRONEVABROKE said: Nasubiri uchaguzi upite. Maana bado sijaandaa fighting zone na authority ya Jiwe. Unataka niwe detained nisilionje hata FAO langu la kujitoa? Click to expand... Weka tu,hakuna wa kukukamata