Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Hivi huwa unafanya mazoezi usinenepe au ni mwili umeamua kutokunenepa..maana vyakula vyako ni moto 😋😋😋
Hivi huwa unafanya mazoezi usinenepe au ni mwili umeamua kutokunenepa..maana vyakula vyako ni moto 😋😋😋
[emoji1]mkuu mwili wangu ulishaga goma kunenepaHivi huwa unafanya mazoezi usinenepe au ni mwili umeamua kutokunenepa..maana vyakula vyako ni moto [emoji39][emoji39][emoji39]
Una uzuri wa asili nimekupenda bure mkuuPengine sijui ni ushamba wangu huu au ni maamuzi....
Perfume,wanja,light powder,lip gloss kwa mbali imeisha hiyo
Aise uko vizuri..ningekuwa nakula kama wewe nisingeweza kupita mlangoni.hongera.[emoji1]mkuu mwili wangu ulishaga goma kunenepa
Nina kilo 62 huu wembamba wangu ni wa asili
Habari za asubuhi mkuu Chakorii
Huhuuuuuuu🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️ Asubuhi asubuhi natangaziwa mapendo...siku yangu inaendelea kung’ara😘😘😘Una uzuri wa asili nimekupenda bure mkuu
Amina mpendwa ubarikiweAise uko vizuri..ningekuwa nakula kama wewe nisingeweza kupita mlangoni.hongera.
Za asubuhi ni nzuri mkuu ni nazidi kumtukuza Mungu kwa zawadi ya uzima na afya
Naomba kusema na moyo wako tafadhari [emoji1]Huhuuuuuuu[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344] Asubuhi asubuhi natangaziwa mapendo...siku yangu inaendelea kung’ara[emoji8][emoji8][emoji8]
Asante T 1990 ELY
Kwahiyo Elly ndo umeamua kuanza kucheza na fursa sio🤣🤣🤣🤣Naomba kusema na moyo wako tafadhari [emoji1]
[emoji1] Chakorii bhanaKwahiyo Elly ndo umeamua kuanza kucheza na fursa sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1][emoji1]nimesoma nikaelewa tofauti hapo kwenye minyoo
Nikajua vinakuamushiaga.........
Karibu tule@Chakorii
Habari za mida mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee wa kupenda nini vile kwa mwanamke?[emoji1]Anaitwa Chakoriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wa kupenda nini vile kwa mwanamke?[emoji1]
Kwema mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko poa kabisa mkuuKwema mkuu
Vizuri sana kama uko poa mkuuNiko poa kabisa mkuu