T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,087
Mambo vipi mkuu
Mambo vipi mkuu
Ooh!ina maana hata cosmetics nazo hutumiagi coz nimezoea wengi hutumiaSipendi kupaka kucha rangi
Poa za kwako..Mambo vipi mkuu
Za kwangu njema/salama kabisa namushukuru MUNGUPoa za kwako..
Pengine sijui ni ushamba wangu huu au ni maamuzi....Ooh!ina maana hata cosmetics nazo hutumiagi coz nimezoea wengi hutumia
Jambo la kheri...Za kwangu njema/salama kabisa namushukuru MUNGU
Asante mkuuAmina
Karibu
Hebu nitumie basi na wewe
Sawa nakutumiaHebu nitumie basi na wewe
Aise vyakula vyako huwa vinaniamshiaga minyoo Kwa speed ya 5G
Aise vyakula vyako huwa vinaniamshiaga minyoo Kwa speed ya 5G

nimesoma nikaelewa tofauti hapo kwenye minyooAsante 😢😢nimesoma nikaelewa tofauti hapo kwenye minyoo
Nikajua vinakuamushiaga.........
Karibu tule@Chakorii
Tulale sasa au upo kwenye lindo unahamia kwenye uzi pendwa?Asante![]()
Nilishakuja na kuondoka...sikukaa sana..nitakuja tena tukijaaliwa uzimaTulale sasa au upo kwenye lindo unahamia kwenye uzi pendwa?
Ulisema una safari ya mwanza Chakorii vipi upo kimya maana tayari maandalizi ya kupokea ujio wako yamefikia asilimia 82.09