Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,706
- 51,034
Safi sana jirani hongera..
sisiemu mbele Kwa mbele
Ccm oyeeee,ccm mbele kwa mbele mtu wangu... hebu sikiliza kale kanyimbo ka kiba - dodo [number 1] kazuri zuri,Safi sana jirani hongera..
sisiemu mbele Kwa mbele
Ccm oyeeee,ccm mbele kwa mbele mtu wangu... hebu sikiliza kale kanyimbo ka kiba - dodo [number 1] kazuri zuri,Huyo ni wewe yna2
Mitano tena au sio mtu wangu, halafu we ely si wa geita weweCCM OYEE
Ugonjwa wangu
Hapana mkuu@Iceberg9 mimi ni wa Bariadi-SimiyuMitano tena au sio mtu wangu, halafu we ely si wa geita wewe
Muone Daktari..Ugonjwa wangu
Ayaaaaaaa ayaaaaa kumbe yaliyomo yamooo ni fireeee

Mhmhh kamanda haya mambo hayataki hasira... Mbona umeleta hasira hivi
Issa weekend you know ...wapi thatha mwamba🤦Ayaaaaaaa ayaaaaa kumbe yaliyomo yamooo ni fireeee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
😊
Mambo vipi mkuu
Za kwangu njema/salama kabisa mkuu
Poa za kwako
Kamanda 😂😂😂Mhmhh kamanda haya mambo hayataki hasira... Mbona umeleta hasira hivi
Mwamba nimejibanza eneo fulani ni kificho mnooo, napendega weekend nijibanze mahala nile mziki kupunga upepo basii nafurahi, napunguza stress kidogo, sema upo mbali ningekupa mualiko, hebu taja location kwanzaIssa weekend you know ...wapi thatha mwamba![]()
Nakasikiliza jirani![]()
![]()
Ccm oyeeee,ccm mbele kwa mbele mtu wangu... hebu sikiliza kale kanyimbo ka kiba - dodo [number 1] kazuri zuri,
Hebu kufanya kama unachokoza tena na kamoko hivi tupia watu wapo machoKamanda
Niwacheeee



Mnafanana sana aisehh nilitaka kusema ni wewe
TupiaNakasikiliza jirani
