Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Nikumekuja kusalimia mijusiI,vyura na mbu😅😅Heeeeh wee huko shambani vipi tena?
Nikumekuja kusalimia mijusiI,vyura na mbu😅😅Heeeeh wee huko shambani vipi tena?
Kitavhojiri huku nitakusimulia jirani 😅😅Unafanya nini vichakani
Sio shamba jirani..hapo nimeicrop kuna mijengo huko kufuru..Upo shamba, cactus hiyo umenikumbusha biology ya A level
Sio shamba jirani..hapo nimeicrop kuna mijengo huko kufuru..
Watu wana hela wanajenga vitu halafu sisi tunaogopa kuichagua ccmWeee usiniambie..Kono lililoshiba haswa.
Jirani yangu ukishakuwa na pesa unaweza kujenga mjengo wa aina yoyote ile.cha msingi tuombe uzima na hekima![]()
![]()
![]()
Watu wana hela wanajenga vitu halafu sisi tunaogopa
Mimi nina kibanda kimoja sio mbaya jirani, nitaichagua tena ccmJirani yangu ukishakuwa na pesa unaweza kujenga mjengo wa aina yoyote ile.cha msingi tuombe uzima na hekima
Safi sana jirani hongera..Mimi nina kibanda kimoja sio mbaya jirani, nitaichagua tena ccm
Oyeeeeeeee🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️CCM OYEE
Mbona kama umeweka juice ya ukwaju mku😅😅🤭🤭🤭
Weee...usiniambie joanah...sema suHapa unamalizia na maeneo ya usoni chap!
Weee...usiniambie joanah...sema su
Haya kaa kwa kutulia..1,2,taaa.....Suuuuuuu 🙉🙉🙉
Kidumu chama tawalaOyeeeeeeee![]()
👍🏿Kidumu na kitaendelea kudumu.Kidumu chama tawala
Hujambo@ChakoriiKidumu na kitaendelea kudumu.
Hivyo vidole viwili visikudanganye