Jirani kesho kanisani babaTupia [emoji485]
😂😂😂😂😂 Hivi unajua kamanda sijawahi ona kauchebe kako eeh🤦Hebu kufanya kama unachokoza tena na kamoko hivi tupia watu wapo macho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nifanye utafiti huenda akawa Damu yangu kabisa huyu😍Mnafanana sana aisehh nilitaka kusema ni wewe
Sawa mamaJirani kesho kanisani baba
Aiyaaaa..nipo pande fulani hivi madongo poromoka huku..😂😂 sawa mwamba enjoy🥂Mwamba nimejibanza eneo fulani ni kificho mnooo, napendega weekend nijibanze mahala nile mziki kupunga upepo basii nafurahi, napunguza stress kidogo, sema upo mbali ningekupa mualiko, hebu taja location kwanza
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Utakimbia unaweza ukatokea kwa jirani yako upande wapili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi unajua kamanda sijawahi ona kauchebe kako eeh[emoji1751]
Sawa jiraniMama yangu ni mmarangu jirani kwanini jirani?
Nyie ndugu kabisaNgoja nifanye utafiti huenda akawa Damu yangu kabisa huyu[emoji7]
🤣🤣🤣🤣 Jirani Mimi nawewe hatuchekani ujue....embu fanya kitu roho yangu isuuzike😊[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Utakimbia unaweza ukatokea kwa jirani yako upande wapili
Naona kamainachelewaWoyoooo🤸🤸🤸🤸🤸...hiyo siku ifikemo jamani
Wouzeeeeeerrrr...😍😍😍 Wewe ni damu yangu kabisaaa
Haya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jirani Mimi nawewe hatuchekani ujue....embu fanya kitu roho yangu isuuzike[emoji4]
Aiseeee!!!jombaa upo vizuri muno
Kabisa dada mkubwa🥰🥰🥰🥰😍😍Wouzeeeeeerrrr...😍😍😍 Wewe ni damu yangu kabisaaa