Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangazi zangu wana mamizigo ila mi walinipaga kamzigo kadogo ndo shida inayonikumba mpaka sasa
Shukuru kwa kila jambo,
Kuna siku nilimpigia Baba simu wakati nipo chuo nalalamika, sijafeli in fact ila nilipata marks nisiyoitegemea tofauti na exam ilivyokuwa, akaniambia "huna tofauti na mtu anayelalamika kanywa chai mkate, wakati mwenzie kalala njaa"...!! Niliona aibu sana!!
 
😆😆😆Tangu huu Uzi uanze sijafungua Uzi mwingine wowote! Maana ukizubaa tu utakuta picha zishafutwa🤦🏽‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…