Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Pembeni hapo Kama pana majani pendwa au macho yangu ?Karibuni kripsi.View attachment 1568815
Ndiyo manake boss inaleta hamu ya kutafuna mazagazaga na kiu.Pembeni hapo Kama pana majani pendwa au macho yangu ?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ha ha si kweliNitoe kwenye list boss
Mie nina kitambi si cha nchi hii
Safi Sana Hilo Jani naskiaga Linaleta wisdom and peaceNdiyo manake boss inaleta hamu ya kutafuna mazagazaga na kiu.
Rudy's farm, karibuWapi huko nije?
Yes man depends na unavyoitumia.Safi Sana Hilo Jani naskiaga Linaleta wisdom and peace
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Ukiwa na miguu mirefu halafu ni mfupi huo utakuwa ulemavu😅😅😅Kuna watu tuna miguu mirefu hadi kero![]()
Naingia sasa hivi 😊😊Hakuna geti mlango huko wazi.Njoo basi.
naweza pata hiyo garlic bread
Asante kaka 🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂Karibu sana Dada yangu Chakorii🙏
Usije sasa hivi nimetoka kidogo kwenda kukuandalia nyama.Naingia sasa hivi 😊😊
Ukirudi nistue nipo sehemu kidogo nabuy time hapaUsije sasa hivi nimetoka kidogo kwenda kukuandalia nyama.
Akhsante bossRudy's farm, karibu
Wallah nina kitambi mimiHa ha si kweli