Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Rafiki hizo tuzipe likizo kidogo..nimekununulia kitu konki sana😊😊
Rafiki hizo tuzipe likizo kidogo..nimekununulia kitu konki sana😊😊
Naomba nisame ukweli..japo sijukuona fulu ila najua ulipendeza naomba uniamin mkuuKupendeza mhimu,yaan mgonjwa akiniona tu anaanza kupona[emoji28][emoji23]
Inyemelee tu rafiki yangu kipenzi 😉😉
Hahahaha, hivi hujaifunga kweliInyemelee tu rafiki yangu kipenzi [emoji6][emoji6]
Kwa ajili yako niko tayari kuvunja masharti niliyojiwekea..warmly welcome
Nilivo nauchu mimi nikiona tu nalamba simu tusitesane bhna wakat hamtaki kutualika
Ndo maana eti eeeeee!!Kwa ajili yako niko tayari kuvunja masharti niliyojiwekea..warmly welcome
Usijali vp na mkoani unatuma?[emoji4][emoji120]press yo order[emoji847]
Nilikumiss,weka kapicha sasa
Tuma namba yako pm nikutumie ya full[emoji23][emoji28]Naomba nisame ukweli..japo sijukuona fulu ila najua ulipendeza naomba uniamin mkuu
Natuma kwa uaminifu kabisa [emoji4]Usijali vp na mkoani unatuma?
Picha ntaweka kesho I promise you
Ha ha mzee, nakuja kuvuna huko next year...miti bana
Tualikane wazee wa kazi
Tualikane wazee wa kazi
Sasa hivi nipo makongo juu mkuu, nnatarajia tips, juliana ama masaki popote, niiteUpo wapi mkuu. Tualikane
Safi Sana mzee njoo uchukue hela zako ,,Chaka pesa zipo mjini ni kutanua tu na pisi kaliHa ha mzee, nakuja kuvuna huko next year...miti bana
Sasa hivi nipo makongo juu mkuu, nnatarajia tips, juliana ama masaki popote, niite
Poa ntasogea huko mkuuTuko hapa maeneo ya kijitonyama later tutakuwa tips nadhani ndani ya dakika 30 zijazo tunaweza onana hapo mkuu...
Nyota baba, kasafishe nyotaNdo maana eti eeeeee!!
PM yako umefunga wewe mwanamke
Kila nikijaribu kunena na mp yako maombi yangu hayajibiwi
Leo nimejaribu kukutumia hela pamoja na ya kutolea nikashindwa[emoji1]
Fungua bhana acha hizo
Poa ntasogea huko mkuu
Bas Safi[emoji4][emoji4]kesho mama ntatuma album bila emoji [emoji23][emoji23][emoji23]Natuma kwa uaminifu kabisa [emoji4]
Weka leo bhana,nataka nikuonyeshe yule pacha wako.