Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,434
- 52,908
Jirani unatupia wapi au ndiyo ile siku imefika
Jirani unatupia wapi au ndiyo ile siku imefika
Hahahaha, hako kachupa ka kijaniRafiki yangu kiu ya nini[emoji6][emoji6]
Kihome home jirani..ile siku ndo leo jirani na tunakaribia kumaliza..Jirani unatupia wapi au ndiyo ile siku imefika
Nakutumia lokesheni rafiki tuikate kiu😊😊
Hahahah ushakuwa mshenga tayari uje nyumbani sasa .[emoji23]
Hahahaha, hebu Fanya hivyo tuoneNakutumia lokesheni rafiki tuikate kiu[emoji4][emoji4]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ngoja kwanzaKihome home jirani..ile siku ndo leo jirani na tunakaribia kumaliza..
Kwa bahati mbaya kesho naamsha jirani[emoji18][emoji18][emoji18]
Narudi aisehhh [emoji1787][emoji1787]Hahahah ushakuwa mshenga tayari uje nyumbani sasa .[emoji23]
Jirani bwana acha mambo yako..fanya tule ubwabwa😊😊😊huko
Jiandae fasta
Nini kimetokea tena jirani[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ngoja kwanza
Acha nifanye kazi ya upatanishi na muungano nitapata thawabu nyingi kwe Mwenyezi Mungu [emoji28]Jirani bwana acha mambo yako..fanya tule ubwabwa[emoji4][emoji4][emoji4]huko
Kha huo upatanishi huo [emoji23]Acha nifanye kazi ya upatanishi na muungano nitapata thawabu nyingi kwe Mwenyezi Mungu [emoji28]
Unaniuzi ujue...unaleta mambo gani sasa nitaka kuitwa wifi bhana😅😅😅Acha nifanye kazi ya upatanishi na muungano nitapata thawabu nyingi kwe Mwenyezi Mungu [emoji28]
Nauharibu basi[emoji849]Kha huo upatanishi huo [emoji23]
Unataka uitwe wifi, subiri utaitwa muda sio mrefu[emoji3526][emoji3526]Unaniuzi ujue...unaleta mambo gani sasa nitaka kuitwa wifi bhana[emoji28][emoji28][emoji28]
Naisubiria kwa hamu jiraniUnataka uitwe wifi, subiri utaitwa muda sio mrefu[emoji3526][emoji3526]
Chaguo ni lako aiseeNauharibu basi[emoji849]
NichagulieChaguo ni lako aisee