Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
Nakazia Hapa@Makiseo alishasema hayuko tayari kuhudhuria kikao. Sasa sijui nani yuko tayari[emoji2369]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia Hapa@Makiseo alishasema hayuko tayari kuhudhuria kikao. Sasa sijui nani yuko tayari[emoji2369]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni jirani yangu hana tatizo kabisa rafiki
Goodmorning rafiki yangu
Wivu wa nini sasa kaka?Halafu fala moja linatoka huko lilikotoka na kuanza kubwabwaja eti binadamu wote ni sawa. Sawa mai futi [emoji51][emoji51][emoji51]
Yaani wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha ,kabisa Mkuu ,hivi we ushawahi kuitwa iniboksi ? Hizo fursa huwa kwa watu maalum tu humu JF
Mm na wewe tugonge likes tu
Sent using Jamii Forums mobile app
We pm zangu unazichunia halafu unasema nini hapa!!!Sijawahi kuitwa inbox mkuu tena binti kabisa akisema amefika sehemu niliyopo. Na naamini haitakaa itokee. Hii ni kwa watu spesheli tu ama wenye mshiko kuzidi ule wa Cobalt au sifa zingine ambazo wengine hatuna.
Jael na Makiseo hebu jitahidini mnikaribishe inbox hata kama ni kwa kuzuga tu ili nibusti konfidensi yangu pulizi [emoji16][emoji2221]
Love u more darlnThanks baby love for the birthday wishes
I truly appreciate [emoji171]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Halafu kumbe kamanda spy hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....
Mkuu huyo ni jirani yangu aiaehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....
Zao gani hili?Mali ni shambaniView attachment 1558204
Hivi mmezamilia kuangamiza kijiji sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Hahahaha ,kabisa Mkuu ,hivi we ushawahi kuitwa iniboksi ? Hizo fursa huwa kwa watu maalum tu humu JF
Mm na wewe tugonge likes tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahindi mkuuZao gani hili?
@Jael Makiseo Zoë hawa watu wanakuelewa sana si unawauziaga matunda hadi inbox, nakuaminia boss najua huwezi kukwama,Sijawahi kuitwa inbox mkuu tena binti kabisa akisema amefika sehemu niliyopo. Na naamini haitakaa itokee. Hii ni kwa watu spesheli tu ama wenye mshiko kuzidi ule wa Cobalt au sifa zingine ambazo wengine hatuna.
Jael na Makiseo hebu jitahidini mnikaribishe inbox hata kama ni kwa kuzuga tu ili nibusti konfidensi yangu pulizi [emoji16][emoji2221]
We mkorofi sana [emoji851][emoji851][emoji851]
Mzinguaji huyo, anajua chimbo zoteWallah mtu chake una makusudi [emoji28][emoji28]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimekosa la kuongea haki tena